Tukiwa tunaelekea kwenye Tamsha kubwa la Pasaka linaloandaliwa na Msama Promotion www.unclejimmytemu.blogspot.com inakupa nafasi ya kutazama video ya muimbaji Paul Clement wa kundi la Glorious worship team alivyo pewa nafasi na Solly Mahlangu kutoka Afrika Kusini na kumfanya Solly ashike kiuno
0 comments: