Kutoka kwenye Instagram inayomilikiwa na Kingdom media wamepost picha ya binti africa Miriam Mauki akiwa location huku akiwa amevalia shela la harusi.Mwezi wa pili mwishoni kampuni ya Kingdom media
ilifanya shooting na muimbaji Miriam Lukindo Mauki katika ujio wa album yake.Haya ndiyo maneno 23 waliyosema Kingdom media.
0 comments: