Masanja mkandamizaji kupitia Instagram ame-post picha inayo onyesha aina ya gari vx na kuandika maneno haya (My God is Good ) kutokana na maneno hayo zilifatia comment nyingi
kwa mashabiki wake kama ishara ya kumpa hongera.Masanja ni moja ya wasani waliofanikiwa kimaisha hata kujenga nyumba nzuri kutokana na kazi yake ya sanaa pamoja na muziki wa injili.
Zifatazo ni comment za mashabiki wake pamoja na nyumba aliyojenga Tabata barakuda.
Hii ndiyo Nyumba anayomiliki Masanja Mkandamizaji Tabata barakuda.
Big Amen
ReplyDelete"Utafuteni kwanza ufalme wa Mungu na haki yake na mengine yote mtazidishiwa"
MFANO WA KUIGWA HUU!