Muigizaji kutoka katika Bongo movie (Mboto) ameshiriki kwenye kiwanda cha video cha Pamoja kwa umoja video production kama muumini ambaye ni mlokole
vuguvugu ambaye Kanisani yupo na Duniani ndio usiseme,club kama kawaida maeneo ya Dada poa yupo...kwa mujibu wa Mkurugenzi wa kampuni hii Erick Brighton amesema kuwa ameamua kumtumia Mboto kwakua ni rahisi kufikisha ujumbe kwa jamii kutokana na vituko vyake katika uigizaji wake.Stay tune mdau wangu kupokea Collection ya album hii
0 comments: