Kufatia kile walicho andika kwenye magazeti pendwa kuhusu Muigizaji Mainda ambaye alihamua kumpokea Yesu Kristo kama Bwana na Mokozi wa maisha yake,ameamua kusema yake ya moyoni kupitia kwenye mtandao wa INSTAGRAM vile alivyo chafuliwa jina lake.
Masaa 5 yaliyopita aliandika
haya kuhusu (MAINDA MJAMZITO)
{@shakoor
jongo nakueshimu sana tena sana.ila kwa kuwa umeandika Habari kwa faida yako
mwenyewe Mungu akubariki ila nasema hivi hakuna mtu atakae weza kunichafua ktk
huu ulimwengu.1umeandika Habari yenye uongo mwanzo mwisho kwa mfano nikienda
kukufungulia mashitaka utaniona mbaya Alafu mnazitaja hosptal za watu hamuoni
kama mnazichafulia majina.sasa nikienda Hapo kwa mvungi wewe ndio ulionipeleka
na hiyo Mimba itakuwa wewe ndio ulionipa.... acheni utoto alafu kitu kingine sijaongea
na gazeti lolote sasa unaposema umeongea na mimi wapi kwa nini mnapenda kubuni
mambo. plz plz sipendi mnapoandika upuuzi mkanichanganya na majina ambayo
sihusiani nayo.kila mtu anamaisha yake hivyo sipendi kuchanganywa kwenye
upumbavu.alafu unasema ulikuja kwangu ukaambiwa sipo labada nilikuwa kwako kama
nilikuwa sipo.tusipende kukwazana ktk maisha.kiukweli kwa hili umenikwaza sana.
Mungu wangu anaujua ukweli ataunichafue kwa njia zozote sichafuki.kwa taharifa
tu ya haraka haraka mi siyo mzinzi kwa sasa huko nilishapita kitambo eeeeeeeh
alafu Mimba ni jambo la heli siyo ukimwi huo useme niufiche. Nitazaa ndani ya
Ndoa na si Nje ya ndoa. maana hata mimi nimezaliwa ndani ya ndoa why me nizae
Nje ya ndoa hahahahaha me siyo kuku wala mnyama nijizalie ovyooooo.alafu
umeandika nimetoa Mimba labda wewe ndio Ulikuwa Dk wangu ulinifanyia hilo
tukio.....Mungu akubariki kwa Habari yako ila hili Gazeti watu watalisoma Leo
kesho wamesahau na maisha yataendelea.Maana wiki iliyopita mliniandika nikaa
kaa kimya sasa naona story mnaifanya endekevu kama tamthilia ya Isidingo vile}
Baadae tena kidogo akakutana na gazeti jingine lenye picha ya Ray,Johari na yake....hakucha kusema yake ya moyoni.Na hivi ndivyo alivyo andika.
{uwiiiii Leo naona mmeamka na mimi
nyinyi magazeti hivi naomba kuuliza Bado tu mkiandika habari za Ray na mimi
mnaniweka kiruuuuuu mbona mimi nimesha sahau ata kama nilisha kuwana mahusihano
na huyo mtu......jamani Ebu acheni maisha ya endeleeeeeeee me huko sipo tena
alafu huwa sipendi mkiandika Habari zake nikawekwa sura yangu au jina langu coz
me sihusiki ktk mambo yake na mimi siyo mzazi wa hao watu useme wakiandikwa
kwenye magazeti me ni Ubini wao kwamba majina yao yakiandikwa langu lisipokuepo
jina halijakamilika. Mbona hamtaki kuukubali ukweli. ni hivi Fungeni ukurasa wa
Habari za huyo kaka na wanawake zake me kuniweka.me sihusiki na
nilishalizungumzia hilo toka mwaka jana lakini naona mkitakakunogesha habari
zenu za uongo mpaka muweke jina langu...Hahahahahahhahaha mnajua mnanichekesha
sana. msinitafutia uadui na watu wapendwa coz me sitaki kujenga uadui na watu
basi msinilazimieshe. Natamka Tena mimi na Ray we are over toka mwaka jana.so
acheni hayo mambo ya kuniandika nae.andikene mambo yake na maisha yake na watu
wake siyo uungwana kuniandika kunichanganya na mimi.@Gazeti
la Kiu.
7 more comments
unajua haya magazeti wanashindwa kusoma
mazingira ya watu unajua me najitangaza na kazi zangu sijitangazi na matangazo
ya kwenye magazeti.sasa wakimuona msanii wanajua kila mtu ni msanii magazeti.Najiamini
na kazi yangu alafu me nimo ndani ya Yesu maana Yesu alivyozaliwa tu mataifa
yote walijua kuna mfalme kazaliwa na mamajusi wslitoka kila pande za mashariki
kumtafuta alipo alikuwa star hata bila habari zake kuandikwa Hivyo kama Yesu
aling'aaa na mimi nimemtumainia yeye Hatoniacha jina langu lishuke ataliinua
daima milele yeyote aliemtumikia yeye hatomuacha aibike.sasa wasijue
wanashindana na mimi bali wanashindana na alie ndani yangu yeye anapigana na
wanaopigana nami@reynance yote hiyo coz wamekosa hofu ya Mungu ila yeyote
mwenye hofu ya Mungu hatokubali kumchafua mwenzie kwa Habari za
uongo@marie61cmlee naona hawaoni njia ata ukiwaonyesha kazi bule}
0 comments: