Wednesday, March 26, 2014

HAYA MAHABA YA MCHUNGAJI ANSELM MADUBUKO KWA EMMY KOSGEI UMEYAONA!!

By Jimmy  |  2:58 PM No comments

Muimbaji wa mziki wa injili kutoka Kenya Emmy Kosgei ambaye ameolewa na Mchungaji kutoka Nigeria (Anselm Madubuko) wiki iliyopita wameleta gumzo kubwa kupitia kwenye mitandao ya kijamii kwa mahaba yao ya kimapenzi yaliyo wazi
kwa jamii na hata barabarani.Wamekua wakiwa pamoja wakitembea pamoja popote waendapo ikiwemo makanisani nchini Nigeria ambapo Emmy Kosgei anaishi kwa mda kabla hajarudi nchini Kenya nyumbani kwao wiki chache zilizopita.
Wapenzi hao walioshibana sasa hivi wameamua kuweka uhusiano wao kwenye mitandao ya kijamii ambapo wamepost picha ya pamoja wakiwa wameandika "Selfie" huko nchini Nigeria-Ikeja.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP