Tuna kila sababu ya kumshukuru mungu kwa nafasi aliyotupa Chomoza ya Clouds TV kukufikia wewe mdau wetu mkubwa mwenye mapenzi makubwa na kipindi no 1 cha Gospel Tanzania CHOMOZA.Chomoza ilikua ndoto lakini leo imekua ndoto kamili yenye kukufikia wewe mahali popote ulipo Tanzania kupitia runinga yako nyumbani.Kwa sababu hiyo Chomoza inatimiza mwaka mmoja toka kuanza kazi yake Clouds TV,hivyo basi kupitia Clouds fm 88.5 dar es salamu ndani ya kipindi cha GT cha Harris Kapiga
tuliweza kueleza mengi juu ya mwaka mmoja wa Chomoza na jinsi gani Chomoza imejipanga na msimu mpya utakaofata......Kwa habari kamili mdau wangu chukua dakika zako 10 kusikiliza maongeze yangu na Harris Kapiga kwenye studi za 88.5 Clouds fm Dar es salaam

Hapa sijui alikua anafanya nini Harris Kapiga mwee!
Kulia ni Produz wa GT Huruma akiwa na Harris Kapiga.
Nikiendelea kusema yangu
0 comments: