Muimbaji wa THT Barnaba Elias kupitia kwenye instagram ya blogger kajunason ame-post video inayoonyesha muimbaji huyu fundi akiendelea kuumiliki wimbo wa Ambwene Mwasongwe sehemu mbalimbali kwenye majukwa ya Bongo flava.Hii inanipa picha tofauti ya muimbaji huyu kuonyesha mapenzi ya dhati juu ya wimbo huu.Blog kwa sasa iko mbioni kumtafuta Ambwene ili kujua kama hana taarifa ya Barnaba kutumia wimbo wake na yeye anasemaje kwa hili.Tazama
kipande kidogo cha video kutoka kwenye Instagram ya kajunason kwa hisani ya Uncle Jimmy.
kipande kidogo cha video kutoka kwenye Instagram ya kajunason kwa hisani ya Uncle Jimmy.
0 comments: