Mchungaji Prosper Kinyaha kutoka usharika wa Kijitonyama.
- Pamela Palm Hongera baba mchungaji
- Prosper Kinyaha Asante sana mpendwa wangu Pam, niombee mwenzio
- Gloria Albert Hongera sana kaka prosper
- Andrew Maganga Hongera Rev, Mungu akutie nguvu ktk utumishi wako
- Esnath Stephen hongera sana Mungu wangu akutunze
- Prosper Kinyaha Ahsante sana Gloria kwa ujumbe wako mzuri, hasa wa kunitia moyo ktk huduma hii.
- Prosper Kinyaha Mwl maganga nashukuru kwa maneno yako mazuri kwangu. Niombee nitumike kwa uaminifu
- Prosper Kinyaha Esnat kwakweli ubarikiwe sana rafiki yangu. Niombee niifanye kazi kwa kadri nilivyoitwa kutumika.
- Mbonea Godfrey Mfangavo Karibu shambani mwa Bwana maana mavuno ni mengi ila watenda kazi ni wachache..naamini siku moja utavishwa taji ya ushindi pamoja na waaminio wote katika Kristo Yesu.
- Prosper Kinyaha Aamen!! Mbonea maneno yako yamenifariji sana. kwakweli sio siri nimeyafurahia saana.
- Leonaldi Ezra Mabiki Hongera mtumishi Mungu akubarikiDecember 20, 2013 at 6:57pmZera Balaseka mungu akubariki sana kaka angu kumtumikia mungu ndo kila kitu ubarikiwe
- Jesca Sule Hongera kaka, sasa unaitwa baba mchungaji mungu akuongoze kuchunga kondoo wake vema.
- Ester Mero Nakuona mchungaji.. Big up my kaka kwa hatua hiyo. Mungu akubariki sana..
- Jescar Kimambo shkmoo mchg naomba kwnye maombi yko ya kila cku uwakumbuke vjana kwan hao ndo taifa lakesho , maana tnaangamia,
- Emmanueli Mwilonga mungu mkubwa na akutangulie kazi hiyo ni ngumu kwa macho ya bibadamu
- John Marreale Hongera mch ndo kazi tulio itiwa na yesu utume mwema
- Ismaely Kinyaha Otana MOPIA!
- Ruth Maro hongera sana kakangu mungu akutie nguvu ktk utumishi wako
- Josephat José Johnson kaka,sasa wewe ni mchungaji?
- Richie Wyne Tyjir Hongera sana Mchungaji Prosper Mungu azidi kukubaliki.
- Levina Machui Umependeza sana my kaka, but hongera sana na Mungu akutie nguvu. Mavuno ni mengi lakini watenda kazi ni wachache sana.
- Levina Machui Umependeza sana my kaka, but hongera sana na Mungu akutie nguvu
- G Van WA Nataya samahani mchungaji we ni prosper wa kina njinaely au....
- Juliana Mram jaman kaka hongera
- Kissa Henry bado jambo moja tu...prosper ndo nalisubiria hapo
- Upendo Kiandiko Hongera my mdogo,ukawe mtumishi mwema katika shamba la Bwana,,
- Yunasi Issah Hongera sana Mchungaji. Nakutakia utumishi mwema.
- Prosper Kinyaha Yeah ndo mimi Prosper yule wa kina Njinaely G Van WA Nataya
- Prosper Kinyaha Dada Yunas niombee nitumike kwa uaminifu mwingi, maneno yako nayakumbuka sana, ulinitia moyo nilipokuwa nimeteuliwa.December 21, 2013 at 7:54amProsper Kinyaha Dada Pendo, hakika umekuwa msaada sana kwangu katka maisha yangu,. wewe ni wa thamani sana.
- Prosper Kinyaha Kissa jambo gani tena hilo unalosubiria???
- Prosper Kinyaha Asanate sana Julliana, kwakweli sijakuona siku ile, ulikuwa wapi?
- Prosper Kinyaha Levina rafiki ubarikiwe mnoo, umekuwa bega kwa bega na mimi ukinitia moyo
- Emmy Prosper Hongera sana kakangu
- Prosper Kinyaha Asante sana Emmy kwa ujumbe wako
- Emmy Prosper Karibu sana
- Prosper Kinyaha Nimeshakaribia Emmy Prosper
- Juliana Mram niko chuo arusha kaka
- Prosper Kinyaha Waoh!! Hongera, unasomea kitu gani huko?
- Kissa Henry ndoa takatifu prosper kinyaha
- G Van WA Nataya Hongera sana mungu akutie nguvu katika utumishi wako...kaka...prosper
- Prosper Kinyaha Asante sana G Van kwa kunitia m yanguoyo ndgProsper Kinyaha Asante sana ndugu yangu G Van WA Nataya
- Frank Mkopi bwana asifiwe
- Julieth Mutabiilwa Conglatulations once again, keshompedwa da sophy nae anabarikiwaDecember 21, 2013 at 7:51pmJudith Munisy Hongera my man of GOD
- Humphrey Nkwawi Hongera sn
- Brian Meena hongera sana kaka,kinachofata ni kupata mweza then kufunga ndoa then nikija huko utafungisha ya kwangu Mungu akutunze.
- Ritha Mende CongratzDecember 23, 2013 at 1:58am ·Annethy Gilberthy Hongera sana... YESU KRISTO Akupe hekima kuliko mfalme Sulemani....
- Stephen Silaa ndio baba mchungaji. upo usharika upi?
0 comments: