Nikiwa na Mama mzazi wa Angel (Anna Matilda)
Majira ya saa nane mchana leo kupitia kanisa la Word Alive, mwanamzuki wa anjili Angel Benard alikuwa akiweka wakfu album yake (NEW DAY) kama kawaida blogger nilifika ili twende sawa na tukio zima. Angel benard ni mmoja kati ya waimbaji nao wakubali hapa Tanzania. Leo Angel Benard amefanya kweli baada ya mchungaji msaidizi kuweka wakfu album yake.
Moja ya vitu ambavyo nilikuwa sivifahamu katika maisha yake Angel Benard alianza kuimba na umri wa miaka mitatu hiyo kwa mujibu wa mama yake mzazi (Anna Matilda) mama mzazi wa Angel Benard ni mama mwenye kukubali kazi anayoifanya mwanaye kwenye mziki wa injili.Ni mama anayetoa support kubwa kwa mwanae unataka kujua mengi msikilize
mwenyewe kwenye interview yangu hapo chini
mwenyewe kwenye interview yangu hapo chini
Album ikiwekwa wakfu leo mchana
Kama kawa Angel akifanya kweli
0 comments: