Nabii Tb Joshua leo kwenye ibada yake huko Nigeria Synagogue,church of all Nations ameeleza wazi wapi ndege ya Malaysia ilipo.Pili amesema kuwa wiki hii ndege hiyo itapatikana lakini hakutakua na mtu yoyote atakaye patikana isipokua mabaki ya watu.Kwa mengi zaidi tazama video yake hapa kwa hisani ya Uncle Jimmy mdau wangu
0 comments: