Wednesday, January 15, 2014

VIDEO YA ALBUM YA MISULI YA IMANI

By Unknown  |  6:33 AM No comments

NI YA  AMBWENE MWASONGWE IKO SOKONI SASA


MSANII wa nyimbo za Injili, Ambwene Mwasongwe, ameachia video ya albamu yake mpya inayojulikana kwa jina la misuli ya imani.

Katika huduma

Alisema kuwa video hiyo imetengenezwa jijini Mbeya na Kampuni ya LTV na kuongeza kuwa ameifanya kwa ubunifu unaoonyesha visa halisi tofauti na video zake za awali.
Mwasongwe alisema visa vya nyimbo hizo ni vya kweli, vinavyohusisha watu na kuzitaja baadhi ya nyimbo katika albamu hiyo kuwa ni ‘Misuli ya Imani’, ‘Upendo’, ‘Upendo wa Kweli’, ‘Kuaminiwa na Mungu’, ‘Tangulia Mbele’ na nyinginezo.
Msanii huyo ana albamu tatu, ya kwanza ikiwa ni ‘Majaribu ni Mtaji’, ‘Heshima ya Mrefu ni Mfupi’ na ‘Misuli ya Imani’.

Msanii huyo anayependa kuimba nyimbo za taratibu kutokana na alivyo na sababu kubwa ni kile anachoamini na ambacho kiko moyoni kwani mtu hufanya kile anachokihitaji


Ambwene na Mwandishi wa Apostledarmacy

Author: Unknown

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP