Monday, January 13, 2014

MAMBO MUKUU 5 YA KANISA

By Unknown  |  1:09 AM No comments

Msingi ya Kanisa kwa Mwaka 2014

Pastor Dr. Huruma Nkone

 

 Kanisa la VCCT chini ya Mchungaji kiongozi Dr. Huruma Nkone katika ibada ya leo amefundisha juu ya misingi ya kanisa  ambapo amesema tunapo andaa nguvu nyingi kuandaa msingi ndicho kipomo tosha ya kuwa nini kinafuta.

Aidha alianza kusema kuwa mambo makuu ya kanisa kwa mwaka 2014 ni; 


  • UINJILISTI
  • USHIRIKA
  • IBADA
  • UKUAJI WA KIROHO
  • HUDUMA NA UTUMISHI
 

UINJILISTI

Ni Agizo Bwana katika  Mathayo 28 Yesu alisema kazi yake ni kuleta wokovu, Matendo Mitume 2;47

Kazi ya kwanza ya Kanisa ni kuwaleta watu Wenye dhambi kwa Bwana

Pia alisisitiza kwa kusema kwenye makanisa yetu tuache kukusanya UMATI bali tuongeze UFALME WA MUNGU.

Tena katika Mathayo 16  Biblia inazungumzia juu ya mamlaka ya kanisa,Makusudi pamoja na amri kuu.

Alitolea mfano kwa kusema watu wenye pesa wana nguvu kubwa ya ushawishi kuwavuta watu kwa Bwana kupitia shuhuda za maisha yao na kwa kufanya ivyo matokeo yake ni kuleta watu wengi kwa Yesu.

Licha ya kuchangia huduma mbalimbali pia inatupasa wakati mwingine kutoka na kutafuta watu wanaopotea dhambini.




Sifa za Yesu Zivume kwa mataifa yote




Mwandishi wa http://apostledarmacy.blogspot.com

Author: Unknown

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP