Friday, January 10, 2014

JICHO LA BLOG na SOLLY MAHLANGU LIVE IN TANZANIA.

By Jimmy  |  10:26 AM No comments

 
Leo kwenye jicho la Blog naomba nikupe zawadi ya wimbo wa muimbaji kutoka Afrika Kusini Solly Malangu aliyefanya kweli kwenye tamasha la x mass...Hii ni live aliyowashirikisha waimbaji wa Tanzania kwenye wimbo wa Wahambanati.Ziko sauti tofauti tofauti lakini sauti ya mwisho ya muimbaji wa bendi ya Glorious Worship Team (Bela Kombo) ndiye aliye mfurahisha Solly Mahlangu. Enjoy mdau wangu kwa hisani ya Chomoza ya Clouds TV.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP