Thursday, January 9, 2014

MSIMU MPYA WA CHOMOZA YA CLOUSDS TV 2014

By Jimmy  |  10:33 AM No comments

Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa msimu uliopita wa Chomoza ya Clouds TV na kuukaribisha msimu mpya wa 2014.Yapo mengi ambayo tulikutana nayo kama changamoto katika Chomoza lakini Mungu alikua nasi usiku na mchana,yapo mambo mengi ambayo tunaamini ukiwa kama mdau wetu ulitamani kuyaona lakini hatukuweza kufanya hivyo...tunaomba radhi na kukuaidi huu ni mwaka wa kazi kwetu.Kueleke kwenye msimu mpya tuna kuja kivingine kwa staili ya utofauti sana kuliko vile ulivyo zoea kutuona,jadi yetu ni kukupa habari za Gospel ambazo hujawahi kuziona,kukupa burudani ya mziki mzuri,pamoja na maojiano na watu mashuhuri.Stay tune na Chomoza ya Clouds TV.Picha zifatazo ni maojiano yetu na Mtangazaji wa nguvu kutoka Wapo Radio Rith Chuwalo...
Unataka kujua mengi usikose kutazama Chomoza ya Clouds TV kila J/pili Saa 18:00-19:00 usiku na marudio J/Tatau saa 11:30 hadi 12:30 mchana.Tuna kupenda mdau wetu wa NGUVU!
 Mwake!!
 On set..
Hapa sijui alikua ana niambia nini...


Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP