Wednesday, January 15, 2014

KAMA WEWE NI MUIMBAJI WA GOSPEL TUNAITAJI VIDEO YAKO:TAARIFA KAMILI ZIKO HAPA

By Jimmy  |  9:42 AM No comments

Kutoka Clouds TV kupitia kipindi chake cha CHOMOZA inakupa nafasi nyingine wewe muimbaji wa muziki wa Gospel kuleta Video yako Clouds TV ili kutoa support ya nguvu kwako.Kama ni muimbaji wa muziki wa injili umerecord Video nzuri na ubora mzuri lete CD yako Clouds.
Angalizo -- ( CD yako iwe na maelezo mafupi ya kazi yako umefanya na kampuni gani,ina nyimbo ngapi,pamoja na namba yako ya simu)
Tuna omba ushirikiano wako katika hili...imetolewa na James Temu na Samuel Sasali.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP