Tuesday, December 3, 2013

KWA MARA YA KWANZA TAZAMA VIDEO YA KWAKE LEMBO EMMANUEL-TUTEMBELEE

By Jimmy  |  9:50 AM No comments

Kwa miaka 4 niliyofanya na Praise Power radio nilikuwa shabiki na mpenzi wa wimbo wa Lembo (Tutembelee) sikuwa na mjua hata kidogo lakini kupitia wimbo wake ulikua baraka kubwa kwangu.Nikiwa moshi wiki iliyopita nikakutana na Lembo akiwa ametoka kupokea DVD yake kutoka Dar-es-salaam ndipo tulipo fahamiana na kumpa big up kwa record nzuri iliyopata air time kwenye vituo vya radio za Kikristo.Mdau wangu hii ndio video mpya ya wimbo huu (Tutembelee) Enjoy!!

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP