Tuesday, December 3, 2013

ASANTE SANA HUDUMA YA INTERNATIONAL CHRISTIAN CENTER MOSHI

By Jimmy  |  11:13 AM No comments


Wiki iliyopita nilipata bahati kuwa mkoa wa kilimanjaro kama sehemu ya huduma yangu aliyonipa mungu katika kujenga mwili wa kristo...nilipata bahati kushiriki ibada kanisa la International Christian Center chini ya Pastor Glorious Shoo ambapo alifundisha somo la (IMANI)
Imani  ni pale ambapo unachokiomba ni tofauti kabisa na unachokiona.
Kila kinachotamkwa na Mungu ni kweli na hakika.
 Luka 1; 27
Zaburi 107: 120.
Changamoto kubwa ya imani ni muda.yaani kuchelewa kwa kile tunachokuwa tumemuomba Mungu na kumwamini nacho.
Lakini muda ni jaribu la imani yetu sikuzote.
Warumi 4:17
Ayatajaye yale yasiyokuwepo kana kwamba yapo
Kama mungu amehaidi kukupa kitu lazima atatimiza..usiangalie muda gani unapita kabla hujapata ulichomuomba.
Warumi 4:20-22
tazama ahadi na usiangalie changamoto
Tunatakiwa tukiri kile tunachokiamini Yohana 6:63



Nikiwa na Pastor Glorious Shoo

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP