Tuesday, December 3, 2013

Campus Night Mbeya

By Unknown  |  2:30 AM No comments

...Get Moving Forward 

Watu Zaidi ya 100 walimpa Bwana Yesu Maisha yao kwenye Mkesha Huo.

 

NI tukio Kubwa yenye Kukusanya wanafunzi kutoka katika Vyuo Vikuu Nchini yenye Jina la Campus Night yenye lengo la kuvuna watu kuja kwa Yesu na hii  ni Kutoka Mkoa wa Mbeya


  Ni mkusanyiko mkubwa inayokadiriwa kukusanya wanafunzi zaidi ya 1500 ilikuwa na ujimbe  yenye jina la "Get Moving Forward" Ambapo ilipambwa na  mambo mbalimbali kama vile Waimbaji wa Nyimbo za Injili kama Neema Mwaipopo

anaye pendwa sana katika Mkoa wa Mbeya kama mtoto wa nyumbani.


Neema Mwaipopo

Pia  Band Kongwe ya New Life Band ilikuwepo 

 

Pamoja na Mass Choir iliyoongoza kusanyiko hilo

  

Kwa pamoja walifanya huduma ya kusifu na kuabudu ambapo utukufu wa Bwana ulidhilika kwa watu wote walikuwepo katika mkusanyiko huo  uwepo wa Mungu uliangaza  kwa namna ya tofauti na ajabu sana hakika ilikuwa njema .


Watumishi wa Mungu  walio hudumu ni Pastor Joel Nanauka alikuwa ni mmoja Ya Mnenaji siku hiyo 

Pastor Joel Nanauka

 Bishop Nicodemus nae alikuwa mnenaji katika kusanyiko hilo,

Bishop Nicodemus Shaboka Jr 

Dr. Zabdiel Kimambo nae alikuwa mmoja wa wanenaji

  Dr. Zabdiel Kimambo akiwa na mke wake

Na Ze Blogger Samweli Sasali alikuwa alikuwa akiongonza shughuli iyo  kama MC  

Samweli Sasali


Sasali katika huduma



Baadhi ya Wanafunzi wa vyuo  wakifanyiwa maombi
 

Mwandishi Athony Darmacy  wa apostledarmacy.blogspot.com


Picha hizi ni kwa Hisani ya Samweli Sasali na Anthony Darmasy Mwandishi (blogger) wa http://apostledarmacy.blogspot.com/

Unaweza ku share na rafiki zako link hii

Pia endelea kufuatilia http://apostledarmacy.blogspot.com/ Kwa habari na Matukio Pamoja na ku Like page yetu katika Ukurasa wetu wa Facebook wa apostledarmacy.blogspot.com


Author: Unknown

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP