Kundi la the voice alimaarufu wazee wa akapela wiki iliyopita walikua mkoani Mbeya kwajili ya huduma ya Mwl Mwakasege pamoja na ziara ya nyanda za juu kusini...The Voice walipokelewa
na mwenyeji wao Mch Matthew Sasali ambaye ni Manager wa Radio ya Ushindi Mbeya.Mapokezi hayo yaliambatana na maojiano na kituo hiko pamoja na kufanya mikataba kadha ya kazi zao na radio Ushindi,
Wiki ijayo kundi la The Voice watakua wanaelekea Mkoani Iringa katika semina ya Mwl Mwakasege na ni mwendelezo wa ziara yao ya kujenga network katika mikoa ya kusini mwa Tz
The Voice wakiwa kwenye Studio za radio Ushindi Fm
Wakipata chakula cha pamoja na mwenyeji wao Pastor Mattew





0 comments: