Fred Msungu ni kijana mwandishi,pia ni mtoto wa kwanza katika familia ya
Mch Dismas P. Msungu,familia yenye watoto wawili.Fred ni kijana
anayetoa mafundisho yake kwa njia ya vitabu,maongezi pamoja na
kuhubiri.Masomo yake mengi yana mlengo mkubwa sana ya kubadilisha fikra
potofu au fikra za kitamaduni zisizo na manufaa na kuingiza fikra mpya
chanya zitakazoleta matokeo chanya katika maisha ya mtu mmoja
Hamasa ya kitabu imelenga kuweka akili ya Mungu ndani ya akili na roho za watu kama ilivyo kwenye video yake
akieleza lengo la Mungu na maisha ya mimi na wewe.Katika nyakati zetu kupitia kitabu hiki utagundua Mungu anakuwazia nini na kila anapokutazama anakuonaje,Jenga maisha yako katika mtazamo halisi wa Kiungu juu ya majira yako.Ili kupata nakala ya kitabu hiki kama una love na Fred katika kusupport kazi yake ya uandishi piga simu NO 0653-318117 utaletewa kitabu hiki popote ulipo kwa bei ndogo ya sh 5000/= tu.


0 comments: