Sunday, September 1, 2013

Picha chache mdau wangu wa jinsi mwili wa marehemu Askofu Moses Kulola ulivyo agwa na maelfu ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam.

By Jimmy  |  8:04 PM No comments

Mzee wa Upako Antony Lusekelo akisani kitabu cha wageni kama kumbukumbu.
Dtk Getruda Rwakatare akisani akisani kitabu cha wageni.
 Makamo wa Rais Tanzania Mh Mohamed Ghalib Bilal akisaini kitabu cha kumbukumbu.
Mwili wa marehemu Dr. Moses Kulola.

Picha chache ni maelfu ya wa tanzania walio jitokeza kutoa heshima zao za mwisho


Picha 5 ni wajuku wa Moses Kulola wapatao 47,ndugu pamoja na marafiki wa karibu wa familia hii.
Wajuku
 Mama Kulola wa pili kutoka kulia
Zifatazo ni picha za viongozi wa serikali na wachungaji mbalimbali wakito salamu zao zamwisho
u

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP