Saturday, August 31, 2013

KING CHAVALA NA DANIEL MBEPELA WATENGENEZA WIMBO WA KUMUENZI DR.ASKOFU MOSES KULOLA

By Jimmy  |  8:56 AM No comments

Mara zote inapotokea mtu maarufu amefariki dunia waimbaji wa Bongo fleva,waimbaji wa Gospel uwahi studio kutengeneza wimbo utakao toa pole kwa jamii,ndungu,marafiki na wale wote waliofikwa na msiba huo.Na zungumza haya kwakua mpaka muda huu tunapo endelea na maombolezo ya msiba wa Baba yetu kipenzi Dr.Moses Kulola ni waimbaji wa chache niliopata taarifa wameingia studio kutengeneza wimbo wa kumuenzi Askofu Kulola kwa kazi kubwa ya injili aliyofanya.

Mpaka sasa blog inataarifa ya waimbaji wa chache walio hamua kufanya wimbo wa kumuenzi Dr.Kulola (Baraka  Fransic na Kelvin Weba) wengine (King Chavala na Daniel Mbepela) Blog imepata wimbo wa King chava akiwa ameimba na Daniel Mpemba.Kwa mujibu wa Chavala wimbo huo wamefanya Studio za 'Hosanna' Mabibo producer Aniel Mbepela,jina la wimbo 'Mungu Baba'

Mdau wangu sikiliza wimbo wa King Chava akiwa ameshirikiana na Daniel Mbepela hapo chini.Soon blog itakuletea wimbo wa Baraka Fransic pamoja na Kelvin weba.
Exclusive Mungu Baba
King Chavala
 Daniel Mbepela.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP