Monday, September 2, 2013

WAKAZI WA MWANZA WAJITOKEZA KWA WINGI KUPOKEA MWILI WA ASKOFU DR.MOSES KULOLA.

By Jimmy  |  10:34 AM No comments

 
Pamoja na rasha rasha za mvua na radi za hapa na pale maelefu ya wakazi wa Mwanza wamejitokeza kwa ajili ya kupkea Mwili wa askofu mkuu wa kanisa la EAGT  Dr.Moses Kulola umewasili mchana wa siku ya jana katika jiji la Mwanza na kupokewa na maelfu ya wakazi wa mji huu wakiongozwa na mkuu wa mkoa huo injinia Evarist Ndikiro pamoja na viongozi wa makanisa yote ya jijini Mwanza.

Vilio vya uchungu sana vikasikika toka kwa kila mmoja aliyekuwepo uwanjani hapo huku kila mtu akitafakari moyoni mwake kwa namna alivyokua akiguswa na mahubiri na mafundisho toka kwa Askofu Moses Kulola shujaa wa injili nchini Tanzania

 







Source Blogger Mjap Inc.


Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP