Monday, September 2, 2013

MANENO YA ASKOFU KAKOBE KWENYE MSIBA WA ASKOFU MOSES KULOLA YALETA GUMZO.AMMSEMA MH.PHILIP MANGULA NA WAZIRI THERESIA HUVIZA.

By Jimmy  |  2:44 PM 5 comments

Wakati mkoani mwanza wakiendelea na maombolezo ya Dr.Askofu Moses Kulola napenda kukuletea baadhi ya manemo ya Askofu Kakobe alipokua anatoa salamu zake za rambi rambi siku ya J/mosi katika kanisa la  Evangelistic Assemblies of God Tanzania(E.A.G.T) Temeke.Yapo maneno ambayo kwangu yalikua hadimu kwakua mara chache sana kusikia mtumishi wa Mungu Askofu Kakobe akiyazungumza hadharani.
Hakuofia viongozi wa serikali waliokuwepo akiwemo Mheshimiwa Philip Mangula na waziri  Theresia Huviza baada ya kuwaambia kwa nini wameokoka lakini wana ficha kwa jamii kana kwamba hawana wokovu ndani yao.Jambo jingine alilo sema hadi kila mtu aliyekuwepo mahali pale alikaa kimya kwa muda ni kuhusu uchaguzi wa kiongozi atakaye kaimu nafasi ya marehemu Dr.Askofu Moses Kulola.
 Hii picha kwangu itakua ya mwaka.Haijawahi kutokea watumishi hawa kukutana kwa pamoja.Kushoto ni Gwajima,Kakobe na Mzee wa Upako.

Msikilize Askofu Kakobe akizungumza hapo chini alipo pewa nafasi ya kutoa salamu zake za mwisho.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

5 comments:

  1. Hata Mimi ayakubali maneno yake .

    ReplyDelete
  2. Ni maneno ya kuzingatiwa sana sana aliyoyasema baba askofu kakobe! kaona mbali mtumishi wa Mungu!

    ReplyDelete
  3. Mungu husema na wanadamu kupitia vinywa vya watumishi wake, MAL 2:7. Tuki waamini manabii hao tutafanikiwa, 2 NYA 20:20. Asante sana Askofu Kakobe.

    ReplyDelete
  4. naona jambo jema kumtumikia mung nikiwa mkweli kama kakobe alivowambia hao kwanini uionee injili aibu. jibu unalo unajua yesu aliwambia nini wanao muonea aibu sikuya mwisho itakuaje come oooooooon

    ReplyDelete

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP