Monday, September 2, 2013

HARUSI YA APOSTLE ANSLEM MADUBUKO NA EMMY KOSGEI YA WEKA HISTORIA.

By Jimmy  |  11:56 AM No comments

 Watu mbalimbali katika nchi ya Kenya wame udhuria harusi ya gharama kubwa inayokaribia shilingi Bilioni Moja ya Kenya iliyotumika kwa ajili ya sherehe ya harusi ya Mwanamuziki Emmy Kosgei wa Kenya na Mtumishi wa Mungu Apostle Anslem Madubuko wa Nigeria. 
Harusi hiyo iliyosheherekewa kwa sherehe kubwa 3 ikiwa ya kwanza ni ile ya Kitamaduni iliyofanyika nchini Kenya na kufuatiwa na tamasha kubwa la wazi huki Bibi harusi akiongoza tamasha hilo, sehemu ya pili ni ile ya kitamaduni iliyofanyika kijijini nchini Nigeria nyumbani kwa Apsotle Madubuko na Kisha ikamaliziwa katika Jiji la Lagos, kwenye Kanisa la Revival Gospel Assembly ambalo mchungaji huyo analisimamia.Harusi hiyo ili uhudhuriwa na watu Mashuhuri kutoka katika Ikulu ya Nigeria.






Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP