Monday, August 26, 2013

TAREHE 22/9/2013 JOSEPHINE NKILLA MINZA ANATARAJIA KUACHILIA ALBAM YAKE YA 2.

By Jimmy  |  9:22 AM No comments

 Kushoto Mwl.Mgisa mtebe mwenyekiti wa shughuli ya Josphine Minza.

Mwanamuziki aliyefanya vizuri wakati wa Sifa Zivume pamoja na Albam ya John Lisu almaarufu " Josphine Minza" tarehe 22/9/2013 anatarajia kuachilia Albam yake ya 2 ambapo imejaa nyimbo zenye Ujumbe Mzito kwa ajili ya "Kusifu na Kuabudu".
Uzinduzi huu utafanyika  Ccc Upanga kuanzia saa nane mchana hadi jioni hakuna kiingilio mdau wangu.
Kwa maelezo zaidi msikilize hapo chini Josphine Minza akieleza zaidi.
Waandishi pamoja na Christian Bloggers wakiwa busy
Nikiwa na Blogger Nice kikazi zaidi.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP