Monday, August 26, 2013

KUTOKA KWA JOEL GLORIOUS CELEBRATION KUMEZUA MASWALI MENGI.HIZI HAPA SABABU ZAKE TATU KWA NINI AMEAMUA KUAMIA GLORIOUS WORSHIP TEAM.

By Jimmy  |  10:04 AM No comments

 Nikizungumza na Joel Luwaga a.k .a Solly wa Bongo.

Joel ni kijana aliye amua kumtumika Mungu kwa njia ya uimbaji.Ni kijana mwenye vocal za hatari na mwenye speed kali katika kizazi hiki cha mziki wa injili.Mara zote anapokua anaimba mashabiki wake humuita Solly wa Bongo.Amejipatia umaarufu huo kutokana na uwezo alio kuanao,leo amezungumza na Blog kwa nini ametoka kundi la Glorious Celebration na kuamia Glorious Worship team.Kutoka kwake Joel kumeleta maneno mengi sana kwa mashabiki wake na hata wadau wa mziki wa injili.
Nisikuchoshe sana msikilize hapa akizungumza na Blog.


Picha hii alipiga rasmi alipo anza mazoezi GWT.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP