Tuesday, August 27, 2013

NEEMA GASPER KUFANYA UZINDUZI WA NGUVU UBUNGO PLAZA

By Jimmy  |  9:16 AM No comments

Mwanamuziki wa Nyimbo za injili nchini Tanzania anayekwenda kwa jina la Neema Gasper anatarajia kuachia kufanya tamasha kubwa la Gospel na kuzindua album yake mpya kabisa  ya kwanza yenye nyimbo nane za Injili, uzinduzi huo unaotarajiwa kufanyika siku ya tarehe September 1, mwaka huu 2013  kuanzia mishale ya saa saba mchana katika ukumbi wa Ubungo Plaza
 Tofauti na namna ilivyozoeleka katika uzinduzi wa album mbalimbali za wanamuziki wa gospel Uzinduzi huu wa album ya Shujaa unakuja kwa style ya kipekee ambapo kutakua na pambano la Ngumi, Fashion show na mashindano ya Dancing.
Horodha ya waimbaji nikama unavyo iyona kwenye tangazo hilo hapo mdau wangu (Rose Mhando,Bahati Bukuku,Madam Ruth, Martha Mwaipaja, Everine Msoma, Ambwene Mwasongwe, Maxmillian Machumu, Edson Mwasabwite Enock Jonas )

Mgeni Rasmi katika uzinduzi huo anatajiwa kua Waziri wa ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Samuel Sita ambaye ataongoza jopo la wageni wengine waalikwa kumuunga mkono mwanamuziki huyo.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP