Thursday, August 29, 2013

HABARI ZILIZO TUFIKIA BLOG-ASKOFU MKUU WA EVANGELISTIC ASSEMBLIES GOD 'DR KULOLA' AMEFARIKI DUNIA.

By Jimmy  |  11:11 PM No comments

Taarifa ambazo zimetufikia hivi punde zinasema kuwa Askofu Mkuu wa Evangelistic Assemblies God Tanzania, Moses Kulola amefariki dunia takriban dakika 15 zilizopita.

Kwa mujibu wa taarifa za kuaminika ambazo Uncle Jimmy imezipata kutoka kwa watu wa ndani wa familia hiyo, zinaeleza kuwa Askofu Kulola amefariki katika hospitali ya AMI African Medical Investments iliyopo Slipway jijini Dar es Salaam.




Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP