Thursday, August 29, 2013

MDAU WANGU HII NDIO HABARI YA MJINI.FRIENDS ON FRIDAY 'MARIDADI' KUFANYIKA TAREHE 6/9/2013 KIJIJI CHA MAKUMBUSHO SAYANSI.

By Jimmy  |  11:38 PM No comments

Ile event yako ya Gospel almaarufu Friends On Friday Kwa ajili ya Wakristo wa Madhehebu Yote itafanyika tarehe 6 September, 2013 katika Viwanja ya Kijiji Cha Makumbusho Eneo la Kijitonyama.

Akiongea na Blog hii pamoja na Chomoza Ya Clouds Tv Mratibu wa Event hiyo Prosper Mwakitalima alisema Friends On Friday Safari hii itakuwa na Jina la "FoF Maridadi" kwa sababu U-maridadi na Ubora ni Asili ya Mungu Mwenyewe, Watu wataimba Kimaridadi, Watu Watacheza Kimaridadi, Mavazi yatakuwa Maridadi.

Prosper Mwakitakima alizidi kueleza kuwa safari hii Kutakuwa na maonesho ya Mavazi ya Kikristo ambayo yamekuwa designed na Designer wa Kikristo, akatoa Mwito kwa Wakristo wote Kukusanyika.

Blog ikatembelea kujionea maandalizi ya Friends On Friday FoF Maridadi Kujionea maandalizi yalivyo.
 Kama kawa Designer Alice Mawere amehusika katika kutengeneza paamba hizi mdau wangu.Big up Dada Alice
 Blogger Samuel Sasali
 Kikosi cha kazi kwenye FoF Maridadi.
 
Mkurugenzi wa Masoko na Biashara Prosper Mwakitalima ki-maridadi mdau wangu.
 Wabishi wa mjini Sam na Uncle Jimmy




Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP