Monday, February 25, 2013

KUELEKEA KWENYE MIAKA 10 YA MAZNAT TAREHE 5/5/2013.

By Jimmy  |  12:43 PM No comments

 
Kwa watu ambao wamekuwa wakijihusisha na issue mbalimbali za Mambo Ya Harusi na Mapambo ya Harusi Jina la Maznat si geni sana sana kwa Wakazi hasa wa Jiji la Dar-es-Salaam.

Ule Msemo Wa Start with Nothing Finish With Everything umedhihirika kwa safari iliyoanza mwaka 2003 kwa MAZNAT kuanza kutengeneza Maharusi mpaka sasa ambapo Maznat ni Kampuni Kubwa ya Kuwandaa Maharusi Wadini Zote na Hata Wale Wasio na dini yoyote.

Siku Ya tarehe 5 May,2013 itakuwa inafanya 10th Anniversary tangu kuanzishwa kwake mwaka 2003 na shughuli nzima itafanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee kwa Kiingilio Cha Shilingi 50,000. Ambapo Katika 50,000 hiyo itajumuisha Kitenge Cha Sare ambacho kinaonekana Pichani, pamoja na Chakula Cha Siku Hiyo.
 
Blogger kwa makini wakisikiliza maelezo kutoka kwa Maznat

Tukifurahia jambo.
 
 Msikilize kwa makini akizungumza na blog hapo chini jinsi event hiyo itakavyokuwa na Bibi harusi yoyote ambaye amezaa watoto wa tatu na bado akaweza kuingia kwenye nguo yake ya harusi atapata zawadi kubwa.

Hapa ni sehemu yakutengeneza maua yakupamba ukumbini.

Hapa ni sehemu maalum yakutengeneza kucha.

 
Kama unaitaji urembo urembo na wewe ni binti wa nguvu sehemu hii inakuhusu.
Pia wanatoa huduma ya mashela ya harusi kwa wale wanao penda kukodi au kununua.

Tulipata picha ya pamoja Christian Blogger baada ya kumaliza kazi.




Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP