Monday, February 25, 2013

MDAU WA MZIKI WA INJILI NOEL TENGA:Afanya shukrani kwa Mungu baada ya kumnusuru kwenye ajali mbaya.

By Jimmy  |  8:51 AM No comments

 Papa the Blogger akiwa na Double E
 
 No Comment
 Noel Tenga.

Ni mara chache sana Mungu anapo tunusuri katika jambo flani maybe iwe ajali,moto,umeme,mafuriko na kadharika tuna sahau kumshukuru.Mungu anahusika na maisha yetu hasa katika kutulinda na hata kutupa uzima.Mdau wa muziki wa injili Noel Tenga, mwezi mmoja uliopita Mungu alimnusuru katika ajali mbaya aliyoipata maeneo ya Kinondoni akiwa katika usafiri wake katika kazi ya kujenga taifa.Siku ya jana alifanya shukrani kwa Mungu akiwa na familia yake,ndugu,marafiki pamoja na wadau mbalimbali wa muziki wa injili.

Shughuli hii ilifanyika Hotel ya Lamada majira ya saba mchana ambapo Mr Noel alieleza jinsi Mungu alivyo mponya katika ajali hiyo.
 Kushoto ni Mch kutoka Kenya akifanya maombi kwa familia hii ya Mr & Mrs Noel Tenga
 Royda akisoma moja ya kifungu kutoka katika Biblia siku ya jana
 Double E wakifanya kweli siku ya jana

 Flora Mvungi akienda sawa
 Huyu ndiye Mama mzazi wa Noel Tenga.
 Mdau wa mziki wa injili Emmanuel Kwayu
 Asikuambie mtu raha ya Mtoto ndio hii.Mrs Noel Tenga akicheka na mwanae Nicole

Miss Nicole
Wachaweeeeeeee!!

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP