Tuesday, February 26, 2013

UTATA:Je kati ya Chris Tomlin na Gloria Muliro nani kakopi kwa mwenzake "Follow You"

By Jimmy  |  12:02 PM No comments

Liko zengwe na maneno yaliyo jitokeza kwa muimbaji Gloria Muliro wa nchini kenya baada ya kuonekana ameiba melody pamoja na mashairi ya muimbaji Chris Tomlin "I will Follow" maneno na zengwe hilo yametokea kwenye mtandao wa facebook na baadhi ya vituo vya radio vya nchi ya Kenya.
Baadhi ya mashabiki wake wamekua na utata mkubwa kutokana na wimbo wake wa "Follow You" uliotoka miezi 3 iliyopita kufanana na muimbaji Chris Tomlin kutoka Uingereza.
Chris Tomlin
Sikiliza mashairi ya wimbo huu wa Chris kisha niachie maoni yako 
 
Huu hapa ni wimbo wa Gloria Muliro ulioleta utata kwenye vituo vya Radio nchini Kenya.Chuku muda wako kusikiliza mtu wangu wa karibu
 
 

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP