Monday, November 19, 2012

TIZAMA SHOW YA TANZANIA WORSHIP EXPERIENCE ILIVYO KUWA J/MOSI ILIYOPITA KATIKA RUNINGA YA TBC 1.

By Jimmy  |  4:04 AM No comments

Kama nimfatiliaji wa show ya Tanzania Worship Experience utakuwa unajuwa wapi tunaelekea kwa sasa.Kama kawaida TBC 1 ndio wanaorusha show hii kila J/mosi kuanzia Saa Tatu na nusu usiku hadi Saa nne kamili.Kama ulikosa kutizama kilicho jiri mtu wangu wa karibu hizi ndizo Picha za tukio zima lilivyo kuwa.

Kumbuka kwa sasa tuko kwenye Top ten ambako wiki ijayo mshiriki mmoja atakuwa akichapa lapa nyumbani.Hivyo kura yako yamuhimu sana kumpigia yule umpendae ili aweze kuibuka mshindi na kujinyakulia shilingi Milioni kuminambili.Fainali za shindano hili zitafanyika Tarehe 9/12/2012 katika ukumbi wa Dimond Jubilee.

Twende sawa na matukio ya picha mtu wangu wa karibu
Kabla yakuanza Record nikipeana mawili matatu na Mtangazaji mwenzangu Debora.Kushoto ni swahiba yangu Chaz
On set

Test kabla ya kazi

Nikiwa na Debora Backstage kabla ya kufungua show

Mkurugenzi wa Tanzania Worship Experience kushoto Mr Bilionea akiteta jambo na jaji Luiza.
Show ikaanza kwa kufunguliwa na Dada yangu Upendo Mlingo

Back Vocal wakifanya kweli

Kama kawaida mdogo wangu Hellen george akienda sawa

Tukisikiliza maoni ya Majaji

Bhoke
Miss Dimpuna akishusha Vocal za nguvu


Kama kawaida mshiriki akimaliza kuimba lazima tupate maoni ya majaji.Katikati ni mshiriki Moneila akisikiliza maoni yake.
Mshiri Veronica akikamua vilivyo
Veronica akinyanyua mkono juu baada ya kupongezwa na majaji wote

Mshiriki Upendo Michael taratibu akifanya kweli

Tukihitimisha show hii kwakuwaita washiriki wote.Usikose kipindi hiki kila J/mosi Tbc 1 kuanzia Saa Tatu na nusu hadi Saa nne kamili.


Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP