Friday, November 16, 2012

TANZANIA PRAISE AND WORSHIP TEAM WAKUTANA KWAJILI YA ARAMBE

By Jimmy  |  11:01 PM No comments

Siku ya leo katika Hotel ya Peacock kamati nzima ya maandalizi ya Mkesha mkubwa utakaofanyika Tarehe 7/12/2012 City Christian Center {CCC Upanga Dar es salaam} wamekutana katika chakula cha jioni kwajili ya  arambe ya Mkesha wa Kumsifu na Kumwabudu Mungu aliye hai.

 Rafiki yangu aliye nipotea siku nyingi Eva alikuwepo

 
 Katibu Henry Kandore akisema jambo siku ya leo. 
Mr Simon Jengo (Mratibu)

Mwenyekiti Emmanuel Kwayu akizungumza na Mtoto wa Lowasa Pamela

Mwenyekiti wa maandalizi haya Emmanuel Kwayu alisemakuwa lengo la mkesha nikukutanisha watu wote na wadini zote ili kuliombea Taifa la Tanzania napia watanzania waitambue siku hii ya kumsifu na kumwabudu.Dhima ya Tanzania Praise and Worship Team ni kutoa fursa kwa watanzania wote kwa pamoja pasipo kujali tofauti zao za kidhehebu,kikabila,kisiasa na kiuchumi.
 Ili kufanyikisha mkesha huu,kiasi cha shilingi milioni kumi na nane {18,000,000/=Tsh} zinahitajika.Kama wewe ni mdau na unapenda kuona siku hii inafana kwa utukufu wa Mungu wasiliana na Mr Emmanuel Kwayu kwa Simu No 0715-422383
Biblia inasema katika kitabu cha Zaburi 29:9 "Mwabuduni Bwana kwa uzuri wa utakatifu wake,tetemekeni mbele zake nchi yote"



 Fanuel katika Rithimu

Mzee wa Mwendo Mr David Sengati kama kawa akifanya mambo.
 Vijana wa Paul Mwangosi wakifanya kweli siku ya leo.
 Kama kawa Mdogo mdogo Blogger tukifanya kweli.










 




Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP