Thursday, November 8, 2012

PRAISE IN THE CITY - DAR ES SALAAM TO JESUS.

By Jimmy  |  10:34 AM No comments

Habari njema kwako mdau wangu wa karibu,Tamasha kubwa la kusifu na kuabudu linakuja kwako siku ya ijuma ya Tarehe 16/12/2012 katika Kanisa la CCC Upanga.Blog ikizungumza na Coordinator wa Tamasha hili kubwa la kusifu na Kuabudu George Mpela kutoka Praise Power fm amesema lengo la Tamasha hili ni kuonyesha namna ya kusifu na kuabudu.
Big boss George Mpela
 
Tamasha hili linategemewa kuwa na wageni mbalimbali kutoka katika Serekali lakini pia litakuwa na Mitume,Wachungaji,Wainjilisti na watu mashuhuli kutoka katika kona za jiji la Dar es saalam.Tamasha hili limepewa Swaga ya jina la "PRAISE IN THE CITY/DAR ES SALAAM TO JESUS"

Vikundi/waimbaji watakao hudumu katika Tamasha hilo kubwa Living woter Makuti Kawe,Next Leval,John Lisu,Upendo Kirahilo na wengine wengi.

Hii siyo yakukosa mtu wangu wa Karibu."Dar es Salaam to Jesus".

Sikiliza maelezo kamili kutoka kwa George Mpela au waweza kuwasiliana nae kwa simu No 0717-566119

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP