Thursday, November 8, 2012

ONGERA MTOTO WA MCHUNGAJI PATRICK CYPRIAN.

By Jimmy  |  8:26 PM No comments

 Ni furaha kubwa kwa Familia ya Mtoto wa Mchungaji Pudensiana pamoja na ndugu wa Karibu.Siku chache Swahiba yangu Patrick Cyprian amefanyikiwa kihitimu Degree yake ya Bachelar of Eduction katika Chuo cha Mwenge University kilichopo Moshi .

Uko usemi mmoja usemao "Marufuku kukata tamaa" maneno haya alitembea nayo katika Maisha yake Patrick Cyprian ambaye amepitia changamoto nyingi mpaka apo alipo fikia.Blog inakupa big up kubwa kwani umekuwa msomi wa kwanza katika Familia ya Pudensiana Ndibalema.

Twende sawa na matukio ya picha kati sherehe fupi iliyofanyika Moshi ambapo rafiki yake Partrick ambaye ni Mzee kiongozi katika Huduma ya Mtume Kingu ndugu James Yona nae alikuwa ni mmoja ya wahitimu wa Bachelar of Eduction.
Swahiba Patrick Cyprian
 Ndugu pamoja na watu mbalimbali waliofika katika sherehe
 Mama na Mwana.

 Patrick akiwa na Dada yake Stovia a.k.a Gift

 Wajina James Yona
 No Comment
 Unapo zungumzia majembe ya Huduma ya Uzima katika Neno uwachi kusema Patrick pamoja na wajina James Yona.Kitu pozi la picha
 Patrick akiwa na Mama mzazi
 James Yona Patrick Cyprian

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP