Tuesday, September 25, 2012

MIEZI YA KUCHAGUA WAPI NIENDE WAPI NISIENDE NDIO HII IMEFIKA SASA.

By Jimmy  |  12:41 PM No comments

Katika mwaka inapofika mwezi wa 8,9,10,11,na 12 maranyingi kunakuwa na Event nyingi za Matamasha mbalimbali katika jiji la Dar es salaamu na hata sehemu za mikoa flani flani.Katika kusibitisha hilo siku ya jana nikiwa mjengoni Praise power fm nilipata list ya matamsha ma-tano yatakayo nguruma sehemu mbalimbali ya jiji la Dar.

PATA RATIBA KAMILI YA MATAMASHA YANAYO KUJA.

Tarehe 7/10/2012 Uzinduzi wa DVD Hip Hop ya Dp-Douglas katika jengo la I P S Ghorofa ya pili Akuzamu.

Tarehe 28/10/2012 Uzinduzi wa Audio CD Ruti Benson a.k.a Madam Ruti Mahali KKKT usharika wa Kariakoo.

Tarehe 4/11/2012 Samson Kabata Uzinduzi wa Audio CD.Mahali Kanisa la KKKT Mburaati
 
Tarehe 11/11/2012 Sarah Mvungi jengo la  I P S Gorofa ya pili.Hiki ndicho alicho andika kwenye ukurasa wake wa Facebook.

 Tarehe 18/11/2012 Joshua Makondeko uzinduzi wa DVD viwanja vya Biafra.

Kazi kwako na miezi ya Shangwe!!

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP