Tuesday, September 25, 2012

KAMA WATAFUTA MTOKO WA WEEKEND HUU HAPA NA THE MESSENGERS BAND.

By Jimmy  |  10:49 AM No comments

Mkazi wa Jiji la Dar es salaam na vitongoji vyake unawakumbuka hawa (THE MESSENGERS BAND) wazee wa "Yakobo eheee" Wanakukaribisha kwenye uzinduzi wa Albamu yaho yenye jina "BARAKA YA YAKOBO"

Uzinduzi huu utafanyika Tarehe 30/9/2012 katika Kanisa la Methodist Church Msasani kuanzia Saa Nane mchana hadi Saa kuminambili jioni.Wanogeshaji wengine katika uzinduzi huu Masanja Mkandamizaji,James Honore,David Alloyce na Mlandizi kwaya.

Mabibi na Mabwana kumbuka hakuna kiingilio bureeeeeeee buree! 

 Muonekano wa CD
Kwenye one and II huyu hapa James Honere atakupa burudani ya gita bezi.
Katika kuakikisha unacheka vyema Masanja Mkandamizaji atausika sehemu hiyo. 
Kwa maelezo mengine jinsi yakufika sikiliza hapa.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP