Monday, September 24, 2012

PICHA 10 ZA HAWAMU YA KWANZA YA UHAMASISHAJI WA UPANUZI WA KANISA LA MCH DANIEL KULOLA ULIOFANYWA NA MASANJA MKANDAMIZAJI HIZI HAPA.

By Jimmy  |  11:45 PM No comments

Kama ulikuwa umepitwa na habari hii Mch Daniel Kulola yupo katika mchakato wa upanuzi wa nyumba ya Bwana huko mkoani Mwanza.Na kwakuanza mchakato mzima wa harambe ya upanuzi wa Kanisa lake,ameanzia na washirika wake.

Hiki ndicho nilicho nukuu akiongea na mimi leo{Unajua mambo haya hayakuwa rasmi tuliona ni vema watu wetu wapate baraka na kabla ya kuita watu wa nje ni vema tukaanza kitu ili tukiwaita wakute tumeanza mahali, la pili hatukuwa na mgeni rasmi nilimaliza kuhubiri nikaanzisha hiki kitu,lakini wakati tunaendelea na ibada ghafla masanja na timu yake iliiingia kanisani.Ni kwamba kwa Mwanza Masanja mkandamizaji akifika,Kanisa lake ni Eagt Lumala na mimi huwa ndio mchungaji wake.Kwa hiyo yeye alikuja tu kuhudhuria ibada na alipokuta hili jambo basi akachukua sehemu ya uhamasishaji kama mshirika.Mwisho wa nukuu}








 





















Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP