Wednesday, September 26, 2012

NAFASI NYINGINE KWA WAIMBAJI WA MZIKI WA INJILI KUTUMIA MITANDAO YA SIMU/INTERNET KUJIPATIA PESA.NDIVYO ALIVYO FANYA FELIS MWAMBALO NA JOHN LISU.

By Jimmy  |  10:20 AM No comments

Siku chache zilizo pita muimbaji John Lisu ameamua kuuza nyimbo zake kupitia mtandao wa simu za mkononi (Tigo),ikiwa ni hatua nyingine katika kuingiza pesa.Kupitia kipindi cha Sifa Moto cha Praise power Radio kilicho pita John Lisu alisema huniwakati mwingine kwa sisi waimbaji kutumia nafasi nyingine katika kujipatia pesa kupitia nyimbo zetu.

Yapo makampuni mengi hapa Dar ambayo ukiingia nayo mkataba unapata pesa nzuri itakayokusaidia katika maisha yako kuliko kusubiria mialiko ya watu.Katika ukurasa wake wa Facebook siku chache zilizopita John Lisu aliandika hivi.
Kupitia hilo muimbaji anaeishi nchini sweden (Felis Mwambalo) nae ameamua kuuza nyimbo yake ya (JIPE MOYO) on line kupitia mtandao wa Internet ujilikanao (amazon) kupitia ukurasa wake wa Facebook hiki ndicho alicho sema leo.
Ili kujipatia wimbo huu wa (JIPE MOYO) ingia kwenye mtandao huu www.amazon.com
 Huu ndio mtandao wa (amazon) unaoweza kujipatia wimbo huwo

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP