Kama utani Friends on Friday ikatimiza Mwaka mmoja.Waswahili husema hata mbuyu ulianza kama Mchicha ndivyo ilivyokuwa kwa FoF siku ya Ijumaa katika Kijiji cha Makumbusho Kijitonyama.
Watu walipendeza sana ukiacha mandhari ya ukumbi ilikuwa tamu kweli kweli,kila aliyekuwa amefika alikuwa akionyesha kidole kimoja juu kuashiria Friends on Friday Anniversary.
Katika kutimiza Mwaka wa FoF pia Blog ya Uncle Jimmy ilitoa shukrani kwa wadau wanaompa support katika kuhakikisha mdogo mdogo Blog inasonga.
Friends on Friday ilipambwa na burudani nyingi Fashion Show,Comedy kwa Mc Pilipili na Mlugaluga,Regra Steven Wambura,Sarah Shila na wengine wengi.
Twende sawa na Matukio ya Picha.
Steven Wambura akisaini kitabu cha wageni
Kamati ya FoF ikiweka mambo sawa.
Chris Mauki akiwa na Dr Parvina Kazahura.
Mc Pilipili akitupa Comedy za kihindi,huyu jamaa hatabiriki hata siku moja kujua anakuja na angle ipi katika kuvunja mbavu
Mc Pilipili akitupa Comedy za kihindi,huyu jamaa hatabiriki hata siku moja kujua anakuja na angle ipi katika kuvunja mbavu
Kidole kimoja juuuuuuuu.
Kidole kimoja juuu mtu wangu.
Hapa nilijisikia furaha sana kuonana na mwanakamati mwenzangu wa FoF Amani ambae kwa sasa yupo Mkoani Arusha kikazi zaidi.Hakukosa Friends on Friday kidole kimoja.
Hapa nilijisikia furaha sana kuonana na mwanakamati mwenzangu wa FoF Amani ambae kwa sasa yupo Mkoani Arusha kikazi zaidi.Hakukosa Friends on Friday kidole kimoja.
Hii ilikuwa salam ya siku kama Uji na Mgojwa.
Majembe ya Kazi hapa mjini Chris Mauki Hadson Kamoga.
Moja juuuuu
Moja ya washiriki wa Filam iliyozinduliwa Usiku wa Kidole kimoja juu Kulia ni Rado na Dada yangu Kemmy.
Wadau wakubwa wa FoF Kushoto Vero na Sarafina.
Produz Man Water akiwa na Estar.
No C omment Upendo Benson
Kemmy akitambulisha washiriki wa Filam iliyozinduliwa usiku wa FoF
Kwakukubali mchango wa wanamuziki,Friends on Friday iliwalisha Keki kama ishara ya kukubali kazi wanayo ifanya katika kutoa burudani FoF zote zilizo pita na zijazo.
Nikimpa Certificates Blogger Sam sasali kwa mchango wake mzuri katika kuakikisha Blog yangu inasonga
0 comments: