Tuesday, July 3, 2012

KAMA UNAKIPAJI HII INAKUHUSU {EBENEZER TV}

By Jimmy  |  5:35 PM No comments

Radio Praise Power ikishirikiana na Ebenezer Television wanakutafuta wewe mwenye kipaji cha Utangazaji,Camer Man,Produz,pamoja na Editar.Fika ofisi za Ppr kuanzia leo adi ijumaa,andikisha jina lako kwajili ya Usahili siku ya J/mosi ya Tarehe 7/7/2012 saa Tatu asubuhi.

Hii ni nafasi yako kuonyesha kipaji chako nakuondoka na ajira ya kudumu.Siku ya usahili ni Tarehe 7/7/2012 katika Ofisi za Radio Praise Power zilizopo Mikocheni jijini Dar es salaam.

VIGEZO
---------------------------------------------------
  1. Uwe nakipaji
  2. Usiwe muoga
  3. Uwe umeokoka
  4. Uwe na umbri wamiaka 18 kuendelea.

Jinsi ya kufika,panda gari zozote zinazo kwenda mwenge.Shuka kituo cha stendi ya mwenge mwisho.Vuka barabara kama unakwenda Cocacola,utaona bajaji ziko foleni,uliza Mikocheni kwa Mama watakuleta.

Kumbuka ni Tarehe 7/7/2012 siku 4 kutoka sasa.

Kwa Maelezo zaidi piga simu no 0655-098059

KARIBU.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP