Saturday, June 9, 2012

10 Ilala 10 Temeke watinga Nusu fainali ya Worship Experience.

By Jimmy  |  4:27 PM No comments

Lile Shindano lakutafuta mwenye kipaji cha uimbaji Tanzania Worship Experience limefanyika tena awamu ya Pili ambapo zimishirikishwa wilaya mbili,Ilala na Temeke.

Mchakato ulianza asubuhi ya leo nakumalizika saba mchana ambapo walipatikana washindi 18.Ilala washindi 9 Temeke washindi 9.Mchakato huu utaendelea tena Tarehe 23/6/2012 ambapo washindi hawa watakuwa wakipigiwa vyombo live uku majaji wakifanya kazi yao kama kawaida

Twende kazi katika matukio ya picha.

Mc wa Event akianza kazi siku ya leo Sam a.k.a Papa
Jaji mwenye Mic Emmanuel Mabisa akisema jambo siku ya leo.

Kamati ya maandalizi kushoto Mwenyekiti akiwa na msaidizi wake.
No Comment



No Comment



Ma-Blogger Uncle Jimmy $ Rulea Sanga
Mshiriki akijianda kuonyesha uwezo wake.
Kama kawaida Majaji wakifatilia mpambano kwa makini
Watu mbalimbali wakifatilia mchuano mzima.

Mlemavu wa Macho akifanya kweli siku ya Leo.
Ghafla alipatwa na woga wa kicheko.
Blogger kama yupo kwenye Filam.Papaaaaaaaaaa
Hawa ndio washindi 19 waliopita siku ya leo.

Mchungaji Mlezi wa Tanzania worship Experience akiwafanyia Maombi kwa Washiriki wote.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP