Mwanamziki Addo Novemba ameibuka Mshindi kwa kura takribani 28 katika kugombea nafasi ya Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania.Niuchaguzi uliofanyika kutoka kwa wagombea wa vyama vyote vya mziki Tanzania,Bongo Freva,Mziki wa Kizazi kipya na Mziki wa Asili n.k

Kwa mujibu wa Addo kura zilikuwa zaidi ya 28 na watu walikuwa wengi lakini katika wengi Mungu akamua kufanya cha kwake nakujitukuza mwenyewe.

Huyu hapa Addo Novembar akiongea nami muda mfupi baada yakushinda nakuwa Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania.
Exclusive Uncle Jimmy.
Hongera,uungana na MISS TOURISM TANZANIA ORGANISATION (MTTO) katika kutangaza Tanzania ,utalii na utamaduni wetu kitaifa na kimataifa ,ili kuongeza pato ka taifa
ReplyDelete