Monday, June 11, 2012

Mchungaji Harris Kapiga atoa kanuni 7 zakutunza Penzi lililo pungua katika Ndoa au mahusiano.

By Jimmy  |  1:26 PM No comments

Siku ya J/mosi ya Tarehe 9 Mchungaji na Mtangazaji wa Clouds Fm Harris Kapiga aliitwa katika Kitchen Party gala kutoa somo ni mambo gani ambayo mwanaume anayapenda kutoka kwa mpenzi wake akiwa kwenye mahusiano au Ndoa.

Harris Kapiga alizidi kutoa elimu ya Ndoa ni jinsi gani waweza kuwa mbunifu katika Ndoa yako nakudumisha penzi kwa umpendae pale unapoona penzi limepungua.


Harris Kapiga Kivitendo zaidi.

Akipiga Tenzi ya rohoni,"Kaa nami Bwana"




Watu wakifatilia somo



Dina Marios akiwa na Harris Kapiga.






Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP