Monday, May 28, 2012

DINI ZANZIBAR IMEKUWA VITA,WACHOMA MOTO KANISA LA KARIAKOO VISIWANI.

By Jimmy  |  11:46 AM No comments

Hali imekuwa mbaya Zanzibar watu wasiojulikana wamechoma Moto Kanisa la Kariakoo visiwani usiku wakuamkia jana.Ukiacha kanisa gari ya Mchungaji Dickson nalo limechomwa moto.Wakati hali hiyo ikijitokeza jana,Uko Unguja si shwari sababu Leo hii Kanisa Lingine Limeripuliwa, hii ni Vita Ya Uislam na Ukristo.


Gari ya Mchungaji ikiwa imechomwa Moto.



Pamoja nakuchoma Moto ujenzi umeanza mara moja.

Hivi ndivyo ilivyokuwa baada ya kuchomwa Moto.

Mafundi wakifanya kazi ya ujenzi kuakikisha Kanisa linarudi kwenye hali yake.







Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP