Tukiwa wenye furaha siku ya jana nakumshukuru Mungu kwakufanyikisha tukio zima la Harusi ya Kaka yetu Erick Brighton.Ilikuwa nisiku ya furaha na shangwe kwakila aliefika Ukumbini.Twende sawa na Matukio mbalimbali ya Picha.
Sikiliza Maneno ya Nasaha kwa Baba wa Erick
Nae Mama Mzazi wa Bibi Harusi akito maneno ya Nasaha kwa Mwanae.
Mh Kunatatizooo.Nikicheko cha furaha.
0 comments: