Ndugu yetu mpendwa Erick Brighton a.k.a Mzee wa Kesha na Praise Power siku ya jana aliwakutanisha wadau wa mziki wa Injili katika arambe yakumchangi Harusi yake itakayo fanyika tarehe 27/2012.
Wadau mbalimbali walimiminika kutoa support katika kuakikisha Harusi hii inafanyikiwa kwakiwango cha juu.
Twende sawa katika matukio ya Picha.
Mwigizaji wa Sauti za viongozi wa Serikali pamoja na Sauti za watumishi wa Mungu Stevin alifanya kweli usiku wa jana.
0 comments: